 STAA
 wa timu ya Brazil, Neymar hataendelea na michuano ya Kombe la Dunia 
2014 baada ya kuvunjika mfupa unaoshikana na uti wa mgongo wakati wa 
mechi yao na Colombia usiku wa kuamkia leo.
STAA
 wa timu ya Brazil, Neymar hataendelea na michuano ya Kombe la Dunia 
2014 baada ya kuvunjika mfupa unaoshikana na uti wa mgongo wakati wa 
mechi yao na Colombia usiku wa kuamkia leo.Staa huyo mwenye mabao manne mpaka sasa kwenye michuano hiyo, alitolewa uwanjani dakika tatu kabla ya mechi yao dhidi ya Colombia kumalizika.
Katika mechi hiyo, Brazil walishinda mabao 2-1 na kutinga Nusu Fainali ambapo watakutana na Ujerumani Julai 8 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa za daktari wa timu ya Brazil, Neymar atakaa nje kwa takribani wiki nne.

Post a Comment