SHILOLE MAMA UMEZIDI..!!




So bad leo katika pitapita kwenye mitandao ya kijamii, makubwa haya tukabaini picha za kihasarahasra ambazo zimepigwa na staa shilole nchni muscat, mashabik wakalalamika sana na kusema haiwezekani staa
shilole avae nguo fupi katika nchi ya waarab kama ile, Ukweli ni kwamba ni kweli nchi inatamaduni zake na sheria zake, bt ukweli ni kwamba picha hizo amezipiga
 PICHA TATA ZAID B0NYEZA HAPA CHIN FASTAA
akiwa hotelini na kwenye kordo ya hotel, ila akiwa barabarani anatupia ushungi kama hivi.
Nazani mmejione wenyew.


This entry was posted in