Mrembo huyu ajulikanaye kwa jina la Adokiye amejitokeza kueleza hisia zake juu ya wasichana waliotekwa na Boko haram. Mrembo huyu amesema yeye ni bikra kwani hajawaifanya mapenzi na mwanaume yeyote, mrembo huyu amesema yupo tayari kuwaachia Boko haramu bikra yake ili wawaachie wale wasichana wa shule waliotekwa. Inahuzunisha sana ndugu msomaji kwani mateso wanayopata wale wasichana waliyochukuliwa na Boko haram ni mabaya sana, kwa ubakaji ule nadhani watarudi na mapacha kabisa.
Unaweza kuchukulia kama utani lakini inaumiza, we unadhani ni uchungu gani alionao huyu mrembo mpaka kuitoa bikra yake aliyoitunza kwa miaka kadhaa kwa ajiri ya bwana ake leo hii anaamua kuitoa kwa Boko haramu.
Kama huyu mrembo anaumia hivi je wazazi wanapata usingizi? Poleni sana wazazi wa watoto waliotekwa na Boko haram
Hebu muone dada alivyo mzuri

Post a Comment