LOOH...! UKIONA HII VIDEO UTATOA MACHOZI. KUMBE BOKO HARAM WANAWABAKA NA KUWAUA WANAFUNZI


Akiwa huko  New York  katika ziara ya kutaka kuwasiliana na umoja wa mataifa(UN), Senator Ahmed Khalifa Zanna wa  Borno ya kati aliamua kuongea na studio za  Sahara TV aliongea na  Rudolf Okonkwo kwa kipindi kirefu kuhusu hali halisi wanayofanyiwa wasichana wa shule na boko haram.Alisema atajitahidi kuzungumza na umoja wa mataifa kuchukua hatua madhubuti kuokoa mateso wanayowapata watoto wa shule mikononi mwa boko haram.