BAADA YA MANENO YA WATU SOLANGE AJITOSA KUOLEWA NA LIBABA LA MIAKA 51. WATU NAO KWANI INAWAHUSU NINI..!

Watu wengi wametokea kuikosoa ndoa ya  Solange  kwa utofauti wa umri kati yao. Solange mwenye umri wa miaka  28 amejitosa kuolewa na  Alan Ferguson  mwenyewe umri wa miaka 51 baada ya kuandamwa na watu wengi kwamba amekosa mwanaume wakumwoa. Usupa staa bana shida sana, sasa baada ya kuolewa maneno yameanza tena ohhhh...hawaendani umri..! Ukiwasikiliza watu huwezi olewa.

This entry was posted in