Mzee Yusuph jipange kwa maana Diamond Platnumz aivamia Taarabu... sikiliza wimbo wake hapa duuuu!!!!

Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana

na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV 
sans-serif; white-space: nowrap;">MAMA na BET  leo alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao
anaweza kuuimba pia aliwai kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha akiimba muziki wa taarabu.